Folk Tale

Kaskazi Upepo na Jua

Translated From

Βορέας καὶ Ἥλιος

AuthorΑἴσωπος
LanguageAncient Greek

Other Translations / Adaptations

Text titleLanguageAuthorPublication Date
Y gwynt a’r haulWelshGan Glan Alun1887
The North Wind and the SunEnglishGeorge Fyler Townsend1867
Boria e u SuliSicilian__
Bientu di nort i SoloPapiamento_0
Angin Kaler jeung PanonpoeSundanese_0
Bayê bakûr û rojNorthern Kurdish__
AuthorLathan Lila Yusuf
Book TitleAesop Language Bank
Publication Date0
ATU298
LanguageSwahili
OriginGreece

Kaskazini Upepo na jua wali kuwa wana shindana gani iko na nguvuu kushinda mwingine, msafiri aka kuja na alikuwa anavaa koti mzito. Wali kubaliana mtu ya kwanza kutoa koti ya msafiri ndio akona nguvu kushinda ingine. Upepo ya kaskazini ika jaribu kupiga upepo yake yote, lakini akaona vigumu yake inapiga, zaidi msafiri anafunga koti yake karibu naye, mpaka upepo ya kaskazini ikajishinda. Jua ikaanza ku ngua, mpaka msafiri akatoa koti yake mara moja. Sasa Upepo ya Kaskazini ika kubali jua ikona nguvu kuishinda.


Text view